Maumivu yanayohama mgongoni na kiunoni

Optimists

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2021
Posts
379
Reaction score
1,082
JF doctor habari.

Week iliyopita jumanne nilijikuta napata uchovu mkubwa sana, na maumivu kwenye mabega.

Uchovu ulidumu siku mbili tu, then nikaanza kupata maumivu kiunoni na mgongoni kwenye spinal cord, yaani maumivu yanapokezana, yanaweza anza kiunoni then baadae yanaacha yanahamia mgongoni.

Hivi wakuu nani ana experience na hiyo kitu? Ni siku ya tano sasa.
 
Mwanzo nilidhani ni infection baada ya kulala na mwanamke mwezi uliopita, nimeenda kupima leo niko vizuri, nashindwa kuelewa aya maumivu chanzo chake ni nini?
 
Nenda hospital mkuu.
Hospital nzuri, nakazia hospital yenye huduma bora.
 
Fanya mazoezi ya kunyoosha mgongo.

Inama kuelekea magotini kisha uwe unanyanyua mikono mmoja baada ya mwingine kwenye uelekeo tofauti.

Mimi ni bush dokta lakini kwa ushauri zaidi fika hospital kabla tatzo halijawa kubwa.
 
Kumbe jibu unalo mwenyewe af unauliza ni huyo mwanamke pima magonjwa ya zinaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…