Maumivu yashingo

FRANKMIBONO

Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
6
Reaction score
0
WADAU NIN MAUMIVU YA MUDA MREFU YA SHINGO, KUANZIA KWENYE MABEGA MPAKA SEHEMU YA JUU KICHWA KINAPOANZIA.
sASA KWA MUDA MREFU NIMEMEKUWA NA MAUMIVU HAYO MPAKA HIVI KARIBUNI NILIPTA AJALI YA GARI LTU LILGONGWA KWA NYUMA. MIMI NILIKUWA NIMEKAA KITI CHA NYUMA GARI NDOGO TOYTA MARK II NILIPTA MAUMIVU MAKALI SANA BAADA KICHWA CHANGU KUJIBAMIZA KWENYE 'ROOF' YA GARI NA HASA UPANDE WA KUSHOTO W SHINGO LANGU PAMOJA NA BEGA LA KUSHOTO SASA HIVI LINA MAUMIVU MAKALI KAMA LINAWAKA MOTO.

NILIENDA HOSPITALI DAKTARI AKNIAMBIA NIACHE TU HAYO MAUMIVU YATISHA YENYEWE BAADA YA KUMLALAMIKIA SANA ALINIANDIKIA NIKAFANYE KIPIMO CHA X-RAY YA SHINGO MAJIBU NI KAMA IFUATAVYO;-

-C-Spine
-C-spine allignment loss
-Disc space reduced
alinipa pain killer lakini hakuna maendeleo mazuri

wadau nishaurini
 
Hiyo labda ni hospitali ya serikali, nenda private ukahangaikie afya yako. Sipendi kuwasikia aina ya madaktari ambao mtu hujamaliza kusimulia tatizo yeye tayari keshamaliza kuandika prescription!
 
Unachosema ni kweli ila huyu daktari ni kati ya wale anoitwa 'physician' wa hospitali kubwa ila siku hiyo alikuwa katika hospitali ya binafsi-tatizo ni kwamba madaktari wa aina wanapoenda katika hospitali za bianfsi wanakuwa na presha kubwa ya muda mchache na watu wengi hivyo kujikuta nazingatia zaid kumaliza idadi ya wagonjwa wengi na hapo kipato kinakuwa kikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…