Inabidi afanyiwe upasuaji nenda hospitali kubwa watakupa majibuHabari waungwana,binamu yangu alifanyiwa operation,akawekewe mpira wa mkojo(catheter)toka wamtoe mpira ule anamaumivu makali kama ya mtu mwenye U.T.I inakaribia siku ya tatu sasa,naomba kujua tufanyeje yaishe?,Je nikawaida au anaitaji matibabu mengine?
Habari waungwana,binamu yangu alifanyiwa operation,akawekewe mpira wa mkojo(Catheter)toka wamtoe mpira ule anamaumivu makali kama ya mtu mwenye U.T.I inakaribia siku ya tatu sasa.
Naomba kujua tufanyeje yaishe?,Je ni kawaida au anahitaji matibabu mengine?
Duuuh we jamaa sijui doc wa wapi????m nilipataga iyo kinachotokea ni Ile sindano wanayokuchoma wakati wa kuweka mpira usiwe unachomoka ndio huleta shida baadae wakati wakutoa ikiwa kama yale maji maji hayakuvutwa vizuri, mi nilirudi hospital wakanicheak wakasema yale maji yametengeneza kidonda maana nilikua natokwa na damu kabisa wakati wa haja ndogo nilipewa dawa ya kukausha baada ya week nilikua poa.......mwambie arudi hospitalInabidi afanyiwe upasuaji nenda hospitali kubwa watakupa majibu
Ushawahi kuchomekewa? Alikuchomekea muuguzi wa jinsia yakosiku tatu!!,
itapita hata miezi miwili kabla hali haijarudi sawa,kudidimiziwa huo mpira kwenye njia y mkojo si mchezo
Ushawahi kuchomekewa? Alikuchomekea muuguzi wa jinsia yako