Maumivu zaidi

Pamoja na kuyafahamu yote haya bado unathubutu kumuita "mchumba" na kutaka kufunga ndoa naye miezi mitatu ijayo!!!!


 
Kama unapenda kwa nn unamfutilia mpaka kwenye email hutopata mwanamke maisha mwako kwa kufutilia kihivyo napenda kuwaita vijidudu pasua kichwa
 
He ! Pole sana anafanya vituko hivyo na huku anafunga ramadhani? Sasa wewe si mwambie asiku hanisi,, Ww mwanaume rijali sio , kama hakutaki, ujue usije jutia baadae baada ya ndoa
 
Wacha kujiuliza maswali mkubwa tupa pembeni kwa nini ufe kwa presha? Kipi kinachokudatisha kwake kiasi hicho?
 
Oa tu bro. Ila jitahidi umzalishe mtoto mapema akileta mchezo mtwange talaka aende. Ww muislam waweza oa hadi wa 4. Hapo muhimu uache sign yako.
 

Unguruma kama simba kashikwa SABURI.
 
kashata maamuzi ni yako na mapenzi ni yako na hatujui ni jinsi gani unaumia kwa ushauri wangu achana na huyo Mwanamke japo utaumia na vidonda vitapona tu
 
Last edited by a moderator:
Mhhh! sasa huyo mchumba au garasha? Mweeh!

 
duh una uvumilivu kaka
ushaur wa bure tu ni kuwa kama kweli hy mchumba ako anfanya hayo saa hz, mmebakiza miez muwe wamoja God knowsatafanya nn mkishaoana,
ukiilazimisha ndoa wangu utaishia kulea watoto wa kidume mwenzio...........
jikate mapema kabla hujalia zaid.
pole sana kha, mwanamke anachezea bahat huyo...............
 
Haijalishi ulikuwa umewekeza kiasi gani ktk kumwoa huyo mchumba wako. Maadam umejiridhisha kuwa si mwaminifu, bora ukamwacha mapema. Inauma, lkn the erlier the better.
 
Huyo 'mchumba' wako ulizaliwa nae? Mpaka huwezi kumwacha?
 
Ilo lilikua halina ushauri ni kujitafakari mwenyewe na kuchukua hatua au unasubiri mpaka Ukutu Sms ya "jana nilifaudu sana nini'Usiwe ***** tupa kule uyo dem japo ngumu kidogo lakini ukilazimisha itapita tu kooni.
 
Pamoja na kuyafahamu yote haya bado unathubutu kumuita "mchumba" na kutaka kufunga ndoa naye miezi mitatu ijayo!!!!

Imagine!!!!! Kusoma hujui kweli lakini hata picha huoni??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…