leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,708
Hivi karibuni kuna maumivu nayahisi ubavuni chini ya mbavu panda zote mbili za tumbo.
Mara nyingi nayahisi maumivu hayo usiku. nimelala au asubuhi hasa kama jana yake nilikunywa pombe hata kama ni bia mbili tu.
Baada ya kuamka kitandani huwa siyahisi tena maumivu hayo. Mwanzoni nilidhani kwa vile nina tumbo kubwa kiasi pengine ni maumivu ya misuli.
Dokta naomba ushauri wako. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 50 hivi.