M mareche JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 471 Reaction score 95 Jul 4, 2012 #1 wadau mke wangu anapata maumivu makali sana pindi anaponyonyesha mtoto pia kama kuna viuvimbe kwenye chuchu pls msaada tafadhali n.b ni mzazi week ya tatu sasa
wadau mke wangu anapata maumivu makali sana pindi anaponyonyesha mtoto pia kama kuna viuvimbe kwenye chuchu pls msaada tafadhali n.b ni mzazi week ya tatu sasa
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Jul 5, 2012 #2 Mpeleke Hospitali akamuone Daktari upesi iwezekanavyo.