Ndugu zangu!
Nakuja kwenu kutaka ushauri wa kitabibu kwa hili tatizo linalonikabili!
Kwa muda sasa napata maumivu makali ya moyo ambayo muda mwingine inapelekea hadi nakosa pumzi, na mbaya zaidi kwa sasa iyo hali imehamia kwenye kifua hadi mbavu zinauma. Naombeni ushauri na kama kuna mtaalam wa magonjwa ya moyo nitashukuru kama atanipa nafasi ya kuonana nae!
Ahsanteni sana!