Maunda Zoro wamesha mvimbisha tayari!

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2008
Posts
281
Reaction score
66

Inasikitisha kuona kwamba raia wote mmekurupuka
na kujibu nje na point.


REASON FOR EDITING

Wanajamii hawajaelewa habari



 
Dah...habari nyingine bwana...Sasa Maunda kupata mimba ni ishu kihivyo???..Tumjue aliyempa mimba ili iweje??...Acha hizo bana
 
Hongera zake.Ana haki yakufanya hivyo kwani ni mtu mzima wa kutosha kuweza kuanzisha familia yake.Hongera mwaya..Ukijifungua nitakuletea zawadi za mtoto.
 
ana mimba,hana.hainihusu....
mi nasikiliza nyimbo tu,ya kwao ya binafsi
sina habari nayo.
 
Mimba ni Baraka na wala sio kuvimbisha - After all if that is true she has proved to be a WOMEN ENOUGH!

Mwache binti aendelee kulea uja uzito wake!
 
hongera zake bana.watu kibao wanatafuta hio bahati hawaipati.
hata kama ni yule jini wa salender bridge hhaimhusu mtu. si yake! hwani kaja kuomba matumizi?????
 

Huyu Vipiiiiii??
 
Sasa kama maunda ana mimba inatuhusu nini, ukisikia udaku ndio huu, au unataka tumpelekee nepi nini??????????
 

Mwendambio,
Kuna mahali pameandikwa kwamba Maunda Zoro haruhusiwi kuwa na mimba ama kuzaa? By the way ukishamjua mpenzi wa Maunda itakusaidiaje kuondoa umaskini wa nchi hii?
 
Nyie vipi mnamkandia MP kwani nini!

Udaku ni ruksa kisheria, na ndo maana kuna watu wanaoa kutokana na habari za udaku!...huh!

Huyu ni celebrity wa kibongo bana...habari zake lazima zijulikane na watu kibao, kwenye ma-show yake mnajaa ka nzige, halafu mnajifanya !udaku"...acheni hizo bana...mbona mnanunua magazeti ya udaku ya Shigongo kama njugu, na mmeyajaza majumbani kwenu, huku mnajifanya hamtaki udaku!..kweeeee!!!
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=hxi-9550q8Y"]http://www.youtube.com/watch?v=hxi-9550q8Y[/ame]
 

Agekuja na data kamili atueleze kuwa Maunda ana Mimba na aliyemtia ujauzito ni fulani... sio kutuuliza aliyempa mimba kama vile tulishiriki kushika miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…