mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Nani kakuambia kuwa mimba ni uhuni au dhambi?Wale washabiki wa sauti nyororo kutoka kwa binti Maunda Zoro
msione hapatikani jukwaani siku hizi, ni kwamba ana mimba kwa sasa jamaa wameshajaza kama picha ya hivi karibuni inavyoonyesha hapo chini
Watoto wa mji mnaweza kutupa ndogo ndogo ni jamaa gani kafanya mambo?
ikiwezekana dada zetu wanaoibukia kwenye fani nao wawe makini kama ishu
inatokana na mambo ya sanaa
http://4.bp.blogspot.com/_uDjCUzboFtk/S3kpRAJ8aII/AAAAAAAABa4/DE5xd8huZU4/s1600-h/DSC01416.JPG
Wale washabiki wa sauti nyororo kutoka kwa binti Maunda Zoro
msione hapatikani jukwaani siku hizi, ni kwamba ana mimba kwa sasa jamaa wameshajaza kama picha ya hivi karibuni inavyoonyesha hapo chini
Watoto wa mji mnaweza kutupa ndogo ndogo ni jamaa gani kafanya mambo?
ikiwezekana dada zetu wanaoibukia kwenye fani nao wawe makini kama ishu
inatokana na mambo ya sanaa
http://4.bp.blogspot.com/_uDjCUzboFtk/S3kpRAJ8aII/AAAAAAAABa4/DE5xd8huZU4/s1600-h/DSC01416.JPG
Mimba ni dhambi kama kapata mwanafunzi ila kwa huyo mama mzima............ halali yake.............. ASIPOMIMBWA OHOOOOOOO HAZAI............. AKIMIMBWA OHOOOOOOOOOO ANA MIMBA MNATAKA NINI................ WE MWENDA MBIO/POLE UKIPATA MIMBA WEWE TUTASHANGAAAAAANani kakuambia kuwa mimba ni uhuni au dhambi?
Na unataka kumjua aliyempa hiyo mimba ili na wewe upatiwe yako ukaitunze au?
Afadhali lol! maana wanaume nao siku hizi wambea mno ahjamani alieyempa mimba ni kakaangu wala haina shida kabisa ..binti kaamua mwenyewe kuwa mama ,
Ni mimi shekhe. Dume la nyani. Kama una matatizo ya kushika mimba ni-PM. 🙂
Njoo ukalie DUDU ****** wewe, unafaham wazi kuwa mimi ni Dume sasa kwanini unawazuga raia humu jamvini, kujifanya eti ni PM. Kamwambie Bibi yako aku- PM
...Acha jazba mkuu si ndio mambo ya nyepesi nyepesi hayo angalau ku-refresh mtima???So what? Nawe kamvimbishe wa kwako!