Nilikuwa sijawahi kuuzingatia huu wimbo. Now nauangalia nimegundua Rose Muhando ana kiuno bila mfupa, mauno ya hatari kabisa yaani akiamua kujiachia kama wanaoimba nyimbo za 'kidunia' wakina Snura na Shilole itabidi warudi kwenye muvi tu.
Safi sana. Video haina ubaya kabisa. Kipi bora kumkatia Mungu mauno au kukatia wachepukaji? Go go Rose. Uliteseka sana katika maisha na Mungu akakuona. Walaaniwe wanaume wanaotelekeza wake zao na watoto bila msaada.