and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka hapa Unguja tunaendekeza ufedhuli.
NB: unguja tuache unafiki. Mashoga kila kona. Tunajidai maadili
NB: unguja tuache unafiki. Mashoga kila kona. Tunajidai maadili