Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Wana Ukristo na kutetea Israel ndo maana.

Sir John Roberts Kambaku 100 others adriz Covax incharge
 
Kule wana uongozi mzuri, Zanzibar ina uongozi mbovu pamoja na udini
 
Kwanza tupe source ya data zako maana unapotosha tu watu humu
Kwa wastani mauritius inapokea watalii 1.2m kwa mwaka na sio 3m kama unavyotuambia
Na duniani zanzibar imekuwa ranked number one island tourist destination ikiishinda hadi ibiza , acheni kuponda kila kitu kama machadema
 

Attachments

  • Screenshot_20240514-185612_Chrome.jpg
    292.5 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…