Maurizio Sarri ananithibitishia kuwa Italia inaongoza kuwa na makocha bora duniani

Maurizio Sarri ananithibitishia kuwa Italia inaongoza kuwa na makocha bora duniani

sir venance

Senior Member
Joined
Oct 26, 2017
Posts
151
Reaction score
223
Huyu kocha kabla ya kuwa Napoli aliwahi kufundisha timu moja ya serie B kama sikosei ambapo ilifanya vizuri na baadaye akaonekana na Napoli ambayo wote tunajua jinsi walivyokua washindani wakubwa Juventus ambao wanaendelea kutawala serie A,Leo hii sarri yupo Chelsea,mpira unaochezwa pale unawafanya wachambuzi na wapenda soka wote walioinyima Chelsea nafasi ya ubingwa wameanza kuipa nafasi hiyo,Italia ina makocha bora sana miaka ya karibuni kama Roberto Mancini, Maurizio sarri,Carlo ancelloti,Gianfranco Zola,Antonia Conte,Massimiliano allegri na wengine wengi.
 
Zola ???? Kafundisha timu gani?
 
Hilo halina ubishi mkuu. ITALIA imekuwa ikiongoza kuwa na makocha bora duniani. sikwasahivi tu hata kwa miaka ilopita.

Ila jana zilipigwa pasi 31 mpaka bao aisse yani Huyu mzee sarri dah !!!!!!!!!
 
Kuna makocha wanafundisha uingereza lakini wakija Italian inabidi waende kozi nyingine hii iliwahi kumtokea Vialli
 
Back
Top Bottom