Yanapendezesha ofisi, sebule, chumba kwa siku mbili alafu yananyauka. Kama mtu anapenda maua mi nadhani ni bora awe na bustani, hamna haja ya kuchoma 10000 kwa maua ambayo siku tatu tu yanaleta harufu mbaya ndani.Naomba msaada wako swahiba..(ila msinicheke!!)
Hayo maua yanasaidia nini???
Babu DC!!
Yanapendezesha ofisi, sebule, chumba kwa siku mbili alafu yananyauka. Kama mtu anapenda maua mi nadhani ni bora awe na bustani, hamna haja ya kuchoma 10000 kwa maua ambayo siku tatu tu yanaleta harufu mbaya ndani.
Kwa hiyo, mchungaji anampelekea mzenj wake akapambe room yake ya kupanda??
I am missing something here....Kama ni uzee basi nadhani niko kwenye stage ya 90 + added minutes!!
Naomba msaada wako swahiba..(ila msinicheke!!)
Hayo maua yanasaidia nini???
Babu DC!!
...naye aonekane ana mapenzi ya kidhungu, utasikia "...bwana'ke yupo sooo romantiki shoga!"
Hamna kingine yanachoweza kufabya zaidi ya kuonekana "kanunuliwa maua" na kupendezesha chumba.
We enjoy babu, acha sie tuendelee kudanganywa na kudanganyana kwa maua ambayo baada ya kukatwa hua yananyauka kama mahusiano yetu tu.Ahsante Lizzy,
Sitauliza kitu kingine tena....
Ngoja niendelee kuenjoy mawenge wenge ya enzi zetu za 1947....Life was so cute, but in its natural form!!
Hapo sawa tu,
Mie mmatumbi na kwa hiyo hayo hayanihusu...watabaki nayo Waspanyola, Wafaransa, Waingereza na ndugu zao + wafuasi wao!!
Halafu,
Ukishampa maua ya 100K unamwachia na pesa ya kula kwa week inayofuata au karo ya mdogo wake??
Babu DC!!
Haya mambo umeyaanza lini kamanda??
Na wewe umeshauvaa mkenge wa egoli egoli??
Mie nilidhani utarudi na bonge la jogoo kutoka kule ulikolia new year ili shem na wadau tupate supu???
Very disappointed mura!!
Babu DC!!
Ha hahaaaaa Masanilo na Maua wapi na wapi?
...kaka, lengo la kutoa zawadi ni kumfurahisha mpokeaji,...wewe mpe tu mauwa wenzake wamuonee gere!
kaka siku hizi tena yanatumwa ofisini kukonga nyoyo nyoyo za mahasidi... wengine hadi wanajinunulia kabisaa!!! sasa we chelewa viserengeti boyz vianze kupeleke flowers na lunch boxes
utaishia kucheza second half tu mkuu... wacha mchungaji aji-update operating systems:wacko:
We unacheza na 'attention seekers' ????duh, unajinunulia na kujitumia?
Kuna vitu vingine
labda uwe a 'female woman' ili uweze kuvifanya
kwanza hiyo attension, inaudhi
afu iwe umejitumia mwenyewe, inatisha
We unacheza na 'attention seekers' ????
Anything to be noticed. . . .
Nimewahi ona moja
mtu anaset alarm kwenye simu
afu anapokea
anaongea kwa 10 min
kumbe anaongea mwenyewe
nikadhani kapatwa kichaa
kumbe ni swaga zaidi
Jamani mabadiliko mchungaji anataka pereka mauwa ofisini kwa mzenji ili wenzake Waone gereو