Nikimpelekea mzenji mauwa ya Rose atashangaa sana! Atajua Pendo limeongezeka na kumbuka ni muda wa lunch, tutatoka wote kwenda kula chips dume na Maji ya uhai. Hapo mzenji lazima ataniogesha na Maji yenye iriki, nikikalishwa kwenye kigoda na mambo kwenye kisosi! Mapenzi kujituma Mzee mwenzanguBasi na wewe badilika kwanza...Unataka kibadilike kitu gani kama unaendelea kuvaa hiyo kofia na ndevu hunyoi??
Babu DC!!
duh, unajinunulia na kujitumia?
Kuna vitu vingine
labda uwe a 'female woman' ili uweze kuvifanya
kwanza hiyo attension, inaudhi
afu iwe umejitumia mwenyewe, inatisha
Nikimpelekea mzenji mauwa ya Rose atashangaa sana! Atajua Pendo limeongezeka na kumbuka ni muda wa lunch, tutatoka wote kwenda kula chips dume na Maji ya uhai. Hapo mzenji lazima ataniogesha na Maji yenye iriki, nikikalishwa kwenye kigoda na mambo kwenye kisosi! Mapenzi kujituma Mzee mwenzangu
Haya mambo umeyaanza lini kamanda??
Na wewe umeshauvaa mkenge wa egoli egoli??
Mie nilidhani utarudi na bonge la jogoo kutoka kule ulikolia new year ili shem na wadau tupate supu???
Very disappointed mura!!
Babu DC!!
Wapendwa wana MMU
Heri ya Mwaka mpya. Jamani naomba mnijuze hapa Dar Mauwa ya Rose naweza Nunua wapi nimpe Mzenji wangu siku ya kuzaliwa kwake wiki ijayo! Walau mwaka Huu nimsurprise!
Mch
Unampelekea maua ayafanyeje sasa?! kwani amekuwa nyuki?
Rev kama unaweza kuwa na watu wa kuwatuma Arusha kuna maua ya ukweli sana......
Ila masikini sijui kwanini Lizzy ameamua kwa makusudi kabisa kukufanyia ukatili kwa kukataa na kujikausha utafikiri hajui...
Babu umenichekesha sana, unamaanisha kuwa Rev kawa brazameni lol........
Hata mie sijamwelewa Rev...tena kwa mara ya kwanza kabisa!!
mi namshauri apeleke kiroba cha mahindi na cha maharage! walau panakuwa na uhakika wa mlo hata pale Rev atakapokula kona mazima:lol:..!!
Kaka,
Kwa umri huu tulionao,...nina hakika kabisa sitanunua maua katika maisha yangu yaliyobaki!!
Kama ni kupigwa bao/kibuti....Hicho kikombe nitakinywea tu bila kinyongo!!
Mie nahangaika na magunia ya mikaa, metenga ya kuku wa kienyeji, vikapu vya matunda ya Lushoto, vitenge vya Waxy n.k!!....Wapi The Boss??
Haya nawaachia wenyewe muendelee tu.....I already played my part!!
Babu DC!!
Halafu unaweza kukuta huyo anayempelekea maua hajapata msosi leo siku ya pili...anafanya kupiga dash..!!
Mhh....ngoja tumwache Mchungaji asije kusema tunamletea mambo yetu ya 1947!!
duh, unajinunulia na kujitumia?
Kuna vitu vingine
labda uwe a 'female woman' ili uweze kuvifanya
kwanza hiyo attension, inaudhi
afu iwe umejitumia mwenyewe, inatisha
Mmmmh na haya maji ya mgao ni balaa
Nilizoea Flowers | Flower Delivery | Fresh Flowers Online | 1-800-FLOWERS.COM
Sorry mchungajiJamani this is non synonymous mutations! Lol