sidhani kama zinatusaidia hapa.
..kwa Pathologists, Criminal profilers, na hata Mortuary attendants hii ni
'everyday cup of tea!'. Hapa JF, sie ni members of JURY, lazima tu digest hizi news tusiwe biased kwenye hukumu, ...huenda huyo muuaji anahitaji psychological help ASAP!
Hatujui nini kilitokea kusababisha kifo,
...lolote laweza kuwa lilitokea kusababisha kifo, Autopsy pekee ndio inayoweza toa jibu, hata kama kutakuwa kuna alama za strangulations, au severe loss of blood kutokana na sharp instrument via major artery, ...hii story kuwapo hapa inatupa awareness muuaji alivyotekeleza dhamira yake, na kwamba hizo dismembering na facial skinning zote zilifanyika wakati 'victim' tayari keshakata roho.
na nini maiti inafanyiwa na story behind it! Nadhani sio fair kwa picha kuendelea kuwepo hapa.
...it is fascinating story ndugu yangu, kila mtu na midadi yake, "huenda" kuna wanao enjoy kuona dismembered bodies, yaani viungo vyote, maini, figo, moyo, mpaka koromeo vimepanguliwa vizuuuuri toka mwilini, halafu nyama yote imeondolewa kutoka katika mfupa (de-boned!)...
BTW, si unaona huyo/hao
"mtaalamu" alivyo m-
stitch marehemu vizuri?