Mauzauza Arumeru: Mawe yanarushwa na watu wasioonekana

Mauzauza Arumeru: Mawe yanarushwa na watu wasioonekana

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Kuna matatizo ya vimbwenga katika Kijiji kimoja huko Aru meru
Mawe yanarushwa na watu wasioonekana. Hii habari ipo You Tube,"Mauzauza; mawe ya ajabu,anayerusha haonekani..."
Sasa hawa watu wanasema wanawashuku wageni fulani ambao wamefika pale. Kwa hiyo wanataka kupiga kura ya maoni,wafukuze watu.
Hii vi vichekesho. Hii ni poltergist phenomena--- vimbwenga,inasababishwa na pre teenage boys and especially pre teenage girls.

Poltergeists( invisible beings) wanapata etheric energy from these kids halafu wanarusha haya mawe

Na wale watu wa Aru meru kama hawaamini,they should try to relocate the kids and see what happens.
 
Usikute kunajamaa kafanya hayo ili aongeze viewers YouTube . Ila nami niliona yule mchungaji anaomba mawe yanapiga gari ila wapigaji hawaonekani
 
Polisi wamepigwa mawe, waandishi wa habari,wale global tv wameshangaa kuonja joto ya jiwe. Tunaongea hapa kuhusu watoto wa miaka 8,9,10,11; hayo mawe yakirushwa LAZIMA watakuwepo karibu. Mtu anatakiwa sense pale,aseme,"Tunaendelea kutafuta ufumbuzi wa hili swala. Lakini,kwa sasa,tunataka kuwahamisha watoto,tuwatafutie sehemu salama ya kukaa" . Watoe wale watoto,usiwaambie kwa nini unawaondoa,halafu take it from there. Tazama jambo gani litatokea.
 
Arusha siwaamini sana! Usikute ni kijiti kinaleta Nyuzi Humu....
 
Dah hapa kuna watu wameshaanza kusingizia bangi wakati hata haihusiki☹️
 
Kuna jamaa anajiita Nabii ameenda huko kukemea sijui mizimu kachemka
IMG_20220528_164455.jpg
 
Tulizoea kuyasikia maajabu Sumbawanga, Upangwa Kigoma huko Arusha wameanza lini ushirikina
 
Ukiamini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu huna sababu ya kutoamini mauzauza yoyote.
 
Ukiamini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu huna sababu ya kutoamini mauzauza yoyote.
Mkuu unadhani hao waliopo eneo hilo hakuna hata mmoja anayeamini huyo Mungu mjuzi wa yote?.
 
Hamna chochote ni bangi ya huku msimu huu haijapata mvua ukiivuta inakupa wenge
 
Back
Top Bottom