Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Mkuu unadhani hao waliopo eneo hilo hakuna hata mmoja anayeamini huyo Mungu mjuzi wa yote?.Ukiamini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu huna sababu ya kutoamini mauzauza yoyote.
huyu na gari yake ilipigwa maweKuna jamaa anajiita Nabii ameenda huko kukemea sijui mizimu kachemka View attachment 2242350