Mauzauza ya bodi ya mikopo tanzania

Mjanja mjafanja

New Member
Joined
May 31, 2011
Posts
2
Reaction score
0
kwel bodi ya mikopo tanzania inaendeshwa kwa ubabaishaji!ni hivi unapewa bum la kwanza then wanakuja na sababu bum la pili kuwa information zako zimekosewa!ukidadis zaidi wanadai kuwa kosa ni katika database yao,instead ya kusolve tatizo hilo haraka sasa umepita mwezi no bum!Je ni wangapi tanzania hii wanafanyiwa hivyo?wanategemea vijana watemeao hzo hela wanaishije?
Wadau hali mbaya kama hali itaendelea kuwa hivi!!!
 
acha tu boss wewe mwezi watu tangu mwaka wa masomo uanze hawajapata kitu story zao zile zile
 
hahaha mbona kawaida sana kwa bod za mikopo tz. Km ulisikiliza repot ya CAG utaelewa ninachosema. Kwn mabilion ya mapesa ya mikopo yaliwa kienyeji huko vyuon. Hapa ni kuondosha mfumo 2lionao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…