stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Kwa wale waliofuatilia interview ya boss wa Voda Hashim Hendi, ali-hint kuhusu bei za data kwamba makampuni ya simu Tanzania yanauza data kwa Sh1 to 1.2 per megabyte, kama aliyoyasema ni kweli basi nchi nzima makampuni hayana net profit kwenye mauzo ya data na hata process ya kuuza minara haitakua suluhisho.
Kuna mawili apa, either biashara za mawasiliano zitafungwa ama serikali ibebe jukumu ya kuongezea kiasi kidogo kufidia
Kuna mawili apa, either biashara za mawasiliano zitafungwa ama serikali ibebe jukumu ya kuongezea kiasi kidogo kufidia