Demand katika price point ipi?Biashara ni kama maji, hata uyazuie vipi, kama demand ipo basi itaendelea tu, ni kama madawa ya kulevya, hata unyonge watu, ilimradi demand ipo, basi itaendelea tu.
Ndio nikasema, so as long as demand ipo, biashara itaendelea, mfano mimi, kutokana na uhitaji mkubwa wa internet katika shughuli zangu, hata uniuzie GB1 shs.10,000/= nitalipa tu, infact hata 100,000/= nitalipa , maana najua itarudi atleast mara 10 yake at any given day, so demand ikiwepo hata ufanyeje, tutalipa tuDemand katika price point ipi?
Serikali ikitoza kodi kubwa, na gharama za uendeshaji zikawa kubwa na wawekezaji wakataka faida kubwa, bei itakuwa kubwa sana.
Na bei inavyozidi, kwa watu wenye purchasing power ndogo na mambo mengi, demand ya data kwa bei hiyo kubwa itapungua.
Hutakiwi kuongelea demand bila kuongelea demand hiyo kwa bei fulani.
Gazeti moja hilo hilo unaweza kuuza Sh 150 likawa na demand kubwa, halafu ukaliuza Sh 1,500 demand ikashuka kutokana na bei kupanda.
Waache kutaka faida kubwa
Mwanzo waliachiwa ili iwe incentive kwao, sasa wasifeel kuwa wako entitled kupiga mifaida mikubwa!
Sasa mkuu, hesabu rahisi, yeye amesema wanauza Tsh. 1 kwa MB.... Lakini hadi sasa wanauza Tshs 3 kwa MB....ni vema ukasoma uelewe kwanza kabla hujafungua mdomo
Sijawahi kusikia mfanyabiashara anayesema anapata faida, hasa hawa wanaofanya huku tunakoitwa nchi ya dunia ya tatu, wote wanasema hasara ila hawaondoki
Crdb, Nmb hujawaskia wamesema wamepata billioni(200+) ya faida?Sijawahi kusikia mfanyabiashara anayesema anapata faida, hasa hawa wanaofanya huku tunakoitwa nchi ya dunia ya tatu, wote wanasema hasara ila hawaondoki