kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 13,778 Reaction score 14,214 May 23, 2022 #1 Mkataba wetu na mwekezaji kwenye gesi unasemaje? Baada ya vikwazo vya kuuza gesi kutoka Urusi bila shaka hata gesi yetu itapata soko kubwa huko nje ya nchi, hasa Ulaya. Je, hii itakuwa na manufaa gani kwa pato la taifa?
Mkataba wetu na mwekezaji kwenye gesi unasemaje? Baada ya vikwazo vya kuuza gesi kutoka Urusi bila shaka hata gesi yetu itapata soko kubwa huko nje ya nchi, hasa Ulaya. Je, hii itakuwa na manufaa gani kwa pato la taifa?