NRNEWakati Rais Samia anaingia madarakani mapato ya mauzo yatokanayo na gesi asilia yalifikia $55.12milioni sawa na TZS.143,313milioni Mwaka 2024 yameongezeka na kufikia $144.10milioni au TZS374,660milioni sawa na ongezeko la $88.98milioni sawa na TZS231,348milioni ambayo ni 161%.Hii ni karibia mara mbili ya uzalishaji wa mwaka 2020 ni mara tatu ya mauzo ya mwaka 2015 ambayo yalikua ni $45.7milioni, Hiki ni kiashiria kuwa Rais Samia na mpango wake wa “nishati safi kwa wote” umeanza kueleweka kwa Watanzania walio wengi
Wekeni na matumizi msitusomee mapato pekeakeWakati Rais Samia anaingia madarakani mapato ya mauzo yatokanayo na gesi asilia yalifikia $55.12milioni sawa na TZS.143,313milioni Mwaka 2024 yameongezeka na kufikia $144.10milioni au TZS374,660milioni sawa na ongezeko la $88.98milioni sawa na TZS231,348milioni ambayo ni 161%.Hii ni karibia mara mbili ya uzalishaji wa mwaka 2020 ni mara tatu ya mauzo ya mwaka 2015 ambayo yalikua ni $45.7milioni, Hiki ni kiashiria kuwa Rais Samia na mpango wake wa “nishati safi kwa wote” umeanza kueleweka kwa Watanzania walio wengi
Gas ilikua 22, sasa 24.imepanda lini?