Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Wakuu nimeshuhudia mavazi bunge la katiba ni ya ovyo ovyo upande wa wanawake, wengi wamevalia suruali za kubana na kuwachora maumbo yao, Nakumbuka jana Mwenyekiti wa muda alieleza hili swala la mawazi au mpaka Sita aingie ndo watabadilika hawa wanao vaa ovyo ovyo? Jamani wamama msiwatege wachungaji, maaskofu, masheikh na wote wanao jiheshimu.