Mavazi gani mtu mnene akivaa anapendeza?

litutumbwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
642
Reaction score
1,303
Mimi ni mnene mno.

Naomba kufahamishwa aina za mavazi akivaa mtu mnene anapendeza. Please ninaomba msaada kwenye hilo.

Ila ikitokea nimevaa vest nyama za mbavuni zina hang na kuchora mistari mingi mingi nakosa confidence.

Asanteni.

====

 
wanene kwa asili kubwa wanapendeza kwa sababu asilimia kubwa ya viatu vikubwa ukiachana na vya kiofis kuna viatu kama Air jordan, Airforce na vingine vingi vya kupanda vinawapendeza ukipiga na pensi au kombati moja ila sio skinny jeans hizi za Kubana .

Baadhi ya viatu vyenye maumbo madogo havipendezi kwa watu wanene sana mfano hizi Vans


Kiofisi pendelea sana kuvaa kadeti na mashati ya kawaida ila kaunda ni smart zaidi haswa kama una tumbo kubwa inakutoa sana kuliko mtu mwembamba ...Viatu pembelea vya ngozi haswa hizi hivi vya kamba na kama ni mnene halafu ni mrefu vaa hata Travolta zitakutoa .

Wewe ni mnene kama mrefu utapendeza kila unavyovaa ila kama mfupi ndo tatizo
 
Mimi ni mnene mno.

Naomba kufahamishwa aina za mavazi akivaa mtu mnene anapendeza. Please ninaomba msaada kwenye hilo.

Ila ikitokea nimevaa vest nyama za mbavuni zina hang na kuchora mistari mingi mingi nakosa confidence.

Asanteni
Kama ni me mavazi ya kumpendeza mnene ni kaunda suti au avae suruali na mashati ambayo hayatakiwi kuchomekea.
Nguo za kuchomekea zinaweza kumchora tumbo mtu mnene.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…