Unakuta binti kavaa kimini, anasoma, anajisahau kwa uchovu, anajitanua hata nguo na maungo ya ndani kuonekana.
Mvulana anavaa jinsi inayobana, jinsi imevaliwa mlegezo kiasi cha kuacha nguo chafu za ndani kuonekana, ina ifuko kama dazeni, ina rangi si chini ya tano, hata huwezi kutofautisha tofauti kati ya kibaka na msomi.
Naapongeza SAUT walioasisi na kusimamia utamaduni wa mavazi ya heshima. Kilichotokea Tumain - Kurasini (DSM) ni ishara Dean kutotii mamlaka, pia nina wasiwasi na usimamizi wa chuo cha Tumain - Tanzania. Heshima ya mtu inaanza na muonekano wake. Ila wanavyuo wengi hawajitambui.