Jicho la Ndani
Member
- Nov 5, 2013
- 16
- 2
Ukitaka kuona binaadamu walivyokosa nidhamu na kujiheshimu hata mbele ya ibada basi nenda kanisani siku za ibada.
Kama uko single lazima upate mfadhaiko.
Manake kina dada magoma yako mwaaaa! Halafu zikipigwa zile kwasakwasa ndani wakiinuka na kuanza kutikisa makalio ndio baaasi tena.
Hiyo nikweli.binadamu sasahvi tumekua hatuna aibu nikama mnyama.tukiangalia mifano hai kwa kina dada.mtu kuvaa nguo zakuonyesha maumbile yake ni ili iweje?au anataka nani amuone?kama sio wanaume?kwahyo nikweli mavazi pia huonyesha tabia ya mtu.
Kwani hali hii huwa inasababishwa na nin?
kutojiheshimu
Well said
Mwanamke anayejali utu wake na kujiheshimu katu hawezi vaa half naked
Hao wavaaij na wapitaji barabarani nusu utupu wana yao
Ukijisitiri unamvuta hata mwanamme kutaka kujua unaficha nini...lakini wazi wazi ni kujidhalilisha tu na kutaka kupigiwa miruzi na psii psii!! tabia mbaya

Umegusa ninachoamini! Ahsante sana!
Mkuu tatizo la uvaaji sio la wadada tu siku hizi....
Angalia vijana wa kiume wanavyovalia suruali chini ya makalio...
Tena visuruali vyenyewe vinawabana...
Vp kuhusu uvaaji wa hereni na kujikwatua kama wadada.
Hili ni tatizo kubwa kwa sasa kwa wote watoto wa kiume na wakike.