Wadau na Wajuzi wa fasheni mavazi gani stahiki kwa wanamume wafuatao kulingana na hali zao( kwa mfano aina mavazi na ranging zake n.k)
a) Mtu mwanamume mrefu mweupe
Hakuna mavazi stahiki ila mavazi huendana na mahali ulipo...pia ukijihisi wewe umependeza utakua na confidence ukiwa na confidence hata watazamaji watakuona umependeza.
Mwanaume yeyote mrefu akivaa suti hua anapendeza sana tofauti na mfupi.