Mavazi ya Harusi

Mavazi ya Harusi

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,662
Reaction score
3,715
Salama wana jukwaa?
Naomba kila mwenye picha ya vazi lolote la harusi atupie hapa. Yote ya kike na ya kiume.

Itakuwa msaada zaidi ukisema ulinunua duka lipi. Na wale wenaouza haya mavazi watupie picha na contacts pia.

Asanteni muwe na siku njema.
 
Back
Top Bottom