yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,662 Reaction score 3,715 Feb 4, 2017 #1 Salama wana jukwaa? Naomba kila mwenye picha ya vazi lolote la harusi atupie hapa. Yote ya kike na ya kiume. Itakuwa msaada zaidi ukisema ulinunua duka lipi. Na wale wenaouza haya mavazi watupie picha na contacts pia. Asanteni muwe na siku njema.
Salama wana jukwaa? Naomba kila mwenye picha ya vazi lolote la harusi atupie hapa. Yote ya kike na ya kiume. Itakuwa msaada zaidi ukisema ulinunua duka lipi. Na wale wenaouza haya mavazi watupie picha na contacts pia. Asanteni muwe na siku njema.