Mavazi ya heshima kwa wanawake hayafai kuyavaa chumbani

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,126
NANI ASIYE PENDA KUMVUTIA MPENZI WAKE? hakika hayupo leo naandika juu ya mavazi yanayoitwa ya heshima na kupigiwa upatu sana haya mavazi yanapoendelea kuwa mavazi rasmi kwa wanawake hata ndani ya chumba huku wako wawili na mpenzi.

Hayavutii wanaume wengi na yanaboa hata kama unajiheshimu ukiingia kwa mpenzi wako hayo mavazi yaishie sebuleni, men like to see an attractive appearence of a girl or woman.

Sasa mpaka chumbani muda wote umevalia mavazi kama upo mbele ya wakwe zako wakati mwingine men do miss girls when remembering their lovers in their hotest sexually attractive clothes.at least a girl inside a room with her lover should be always sexually attractive even if resting.
 
Kwani mkuu hayavuki hayo mavazi, yaani mpaka dem anaingia getho alishakuju kama yatavuliwa, ww kinacho kushinda ni nn? funguka mkuu hujasomeka.
 
at least a girl inside a room with her lover should be always sexually attractive even if resting.
 
Mkuu kinachokushinda ni nn?. Ile cku ya kwanza mpige miti ya mana na mfanyie mambo yote ya kihuni hakikisha kila tundu inapitiwa.na.ulimi nenda uvinza c chini ya nusu saa alafu cku ya pili uone hayo mavaz kama hayaishii sebuleni. mapenzi ondoa ubraza men.

ila 0713 NO!!!!!
 
chumbani kama ni muda wa kujiachia na mtu ambae ni mpenz wako ulomzoea hakuna haja ya kukaa na haya mavaz. Kama ndo kwa mara ya kwanza umemleta mschana nyumban anaweza kukaa nayo kwa mda maana anakuwa hajakuzoea. Mshawishi atavua tu mwenyewe
 
u nailed
 
Hii inawafaa wenye ndoa zao tayari, ama girl awe anaishi nyumba yake mwenyewe ndio anaweza mfanyia boy wake hivi
 
teeBag well said!!
Mkuu kinachokushinda ni nn?. Ile cku ya kwanza mpige miti ya mana na mfanyie mambo yote ya kihuni hakikisha kila tundu inapitiwa.na.ulimi nenda uvinza c chini ya nusu saa alafu cku ya pili uone hayo mavaz kama hayaishii sebuleni. mapenzi ondoa ubraza men.

ila 0713 NO!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nasikia ukishaolewa kazi yako ni kuishi na chupi tu.
 
NANI ASIYE PENDA KUMVUTIA MPENZI WAKE? hakika hayupo leo naandika juu ya mavazi yanayoitwa ya heshima na kupigiwa upatu sana haya mavazi yanapoendelea kuwa mavazi rasmi kwa wanawake hata ndani ya chumba huku wako wawili na mpenzi.

Hayavutii wanaume wengi na yanaboa hata kama unajiheshimu ukiingia kwa mpenzi wako hayo mavazi yaishie sebuleni, men like to see an attractive appearence of a girl or woman.

Sasa mpaka chumbani muda wote umevalia mavazi kama upo mbele ya wakwe zako wakati mwingine men do miss girls when remembering their lovers in their hotest sexually attractive clothes.at least a girl inside a room with her lover should be always sexually attractive even if resting.

mbadilishe bibi yako awe vile unataka,hakuna linaloshindikana mkuu
 
we Bulldog wewe mtu aishi kwa pichu tu si uonezi huo jamani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom