Mavazi ya kibongo fleva

6071
Samahani mkuu, unataka kusema jamaa siyo kabisa au? Sijakufahamu bado
 
Hii nayo kali...
duuuh
 
Nani huyo!! au ni baloteli
 
chakula kinasubiri kupakuliwa
 
Duh huo sio mchicha pori kweli? Aka mchicha mwiba
 
Ndo maana wanashindwa 'kazi'... we kutwa nzima dushele imeminywa namna hiyo! ni kama kuku wa kisasa akishazoea bandani hata ukimtoa nje hajielewi... hawezi hata kukimbia...
 
Ndo maana wanashindwa 'kazi'... we kutwa nzima dushele imeminywa namna hiyo! ni kama kuku wa kisasa akishazoea bandani hata ukimtoa nje hajielewi... hawezi hata kukimbia...

Hahahahahaa
 
Daah...watoto wetu wa kike sijui watakuja kukutana na vitu gani huko mbele, kama leo tu hali ni hii....
 
Watakuwa ma dizaina, kuna ka genge ka vijana wa kitz huko insta ni shida sana. Wanavaa nguo za dada zao.
 
Tatizo alivyovaa hivyo kwa mara ya kwanza alipewa sifa lukuki kuwa kapendeza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…