njeeseka JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 1,373 Reaction score 983 Feb 28, 2015 #1 Nimeangalia yule aliyejiita gaidi wa bongo rangi ya nguo ni km nyeusi na wale wachinjaji wa ISIS ni km nyeusi pia na lile likitambaa lao mh!! Hii haina maana yoyote? Wenye tetesi waweke hapa.
Nimeangalia yule aliyejiita gaidi wa bongo rangi ya nguo ni km nyeusi na wale wachinjaji wa ISIS ni km nyeusi pia na lile likitambaa lao mh!! Hii haina maana yoyote? Wenye tetesi waweke hapa.