watu wa zamani muda mwingine ilikuwa kama hamnazo mambo yao. Sasa mtu kajiwekea kakitambaa kekundu begani anakutisha eti "damu yako hii"Tuwekee kapicha hata ka mrugaruga mmoja tu tumuone anavyotisha.
ππHahaaa, lakini hapo ana fuvu la mtu kichwani, meno ya mtu shingoni na utumbo wa mtu kiunoni.watu wa zamani muda mwingine ilikuwa kama hamnazo mambo yao. Sasa mtu kajiwekea kakitambaa kekundu begani anakutisha eti "damu yako hii"
Ukiogopa hapo si uzuzu tayari
Unaambiwa njia ya kuingilia ikulu ya Mirambo ilikuwa imepangwa mafuvu ya watu huku na huku. Kama wato wanavyopanga mawe au matofali pembeni ya njia.ππStori za darasa la 3b, huo muda mko vitani anakutisha vp na icho kitambaa kwamba ni damu
Weka chanzo cha taarifa au utuambie ulikuwepo enzi hizoJeshi la waruga-ruga lilikuwa ni jeshi lililoundwa na mtemi Mirambo. Lilijumuisha watu aliowaokota huku na huko. Wangoni, watu waliokimbia utumwa, mateka wa kivita, na watu wengine waiosomeka.
Inasemwa kuwa mbinu kubwa ya jeshi hili ilikuwa ni kuwatisha adui zao. Walikuwa wakivaa vipande vyekundu vya nguo mabegani na kuwaambia maadui zao, "damu yenu hii."
Kichwani walivaa kofia zilizotengenezwa kwa mafuvu ya watu. Shingoni walivaa mkufu uliotengenezwa kwa meno ya watu. Ma kiunoni walijifunga mkanda uliotokana na utumbo wa watu.
Tafuta picha za Mwendazake wakat ameingia Ikulu mwaka 2015 mwishoni na 2016 mwanzoni.Picha warugaruga hauna?
Habari yakobasi mi nikajua tutaona na picha ya warugaruga
Kwa lugha gani mkuu?Luga luga ni dhakari
Kinyamwezi,milambo alikua muhuniKwa lugha gani mkuu?