Mavazi ya watoto wa kiume

Mavazi ya watoto wa kiume

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
498
ImageUploadedByJamiiForums1404301516.169859.jpg Tukiwa tunaelekea katika sikukuu ya iddi-el-fitri wachunguzi wa mambo ya mavazi katika maduka mbalimbali ya nguo wamebaini kupanda kwa bei za nguo hasa katika maduka yauzayo nguo za watoto, bahada ya kutembelea maduka mbalimbali ya kuuza nguo za watoto na viatu imebaini nguo moja ya mtot wa kiume hasa suruali trouser imekuwa ghali ni mara mbili ya nguo ya mtoto wa kike gauni, au ni sawa na suruali ya mtu mzima Hii ni sawa na kiatu,maana kiatu cha mtoto wa umri miaka miwili bei yake ni sawa na kiatu cha mtu mzima chenye akili, na haya kwenye maduka ya huku kariakoo magomeni mwananyamara tandika hata ilala , inakadiliwa bei ya suruali ya mtot wa miaka 2 ni kati ya 20000 na tsh30000 wakati gauni ya mtoto wa kike ni kuanzia 6000 mpaka 10000
 
Material ya kutengeneza nguo za kiume ziko juu kuliko za kike.Wanaume hatuna utamaduni wa kubadiri nguo mara kwa mara kama wao,hivyo haziwezi kuwa bei juu.
 
Back
Top Bottom