sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649

mobimbaa ya maama eeh, mobimba ya mama ooh.

kuna haka kawimbo haka sijui nani alikaimba mweee. wamegundua wanaume wanazubaa wakiona maziwa injeinje.

zamani mwanamke hata akinyonyesha ziwa lilifichwa analiona mtoto tu. mh sikuhizi mmmmmmmh.
Hili nalo ni janga,maana utakuta mtu mzima na akili zake anavaa mavazi ya ajabu,na cha kushangaza zaidi mtu miguu ina upele au mabaka mabaka alafu anavaa sketi fupi(kimini) sielewi mantiki ya kuvaaa hivyo.mobimbaa ya maama eeh, mobimba ya mama ooh.
kuna haka kawimbo haka sijui nani alikaimba mweee. wamegundua wanaume wanazubaa wakiona maziwa injeinje.
zamani mwanamke hata akinyonyesha ziwa lilifichwa analiona mtoto tu. mh sikuhizi mmmmmmmh.
Yaaaaaaani zaidi ya kinyume.Siku hizi mambo yamekuwa KINYUME,,,,,,,,

sredi imepwaya sababu za kukosa picha, maana sredi kama hizi zinatakiwa na picha ili tuone mnachokisema
Mtindo wa kuacha maziwa wazi hasa kwa wasichana umeibuka kwa kasi katika kipindi huku wengine wakijikuta wanavaa namna hiyo hata wawapo ofisini wakiwamo wanahabari ambao ni kioo cha jamii.
Nawakilisha.
You meant cleavage?
Hili nalo ni janga,maana utakuta mtu mzima na akili zake anavaa mavazi ya ajabu,na cha kushangaza zaidi mtu miguu ina upele au mabaka mabaka alafu anavaa sketi fupi(kimini) sielewi mantiki ya kuvaaa hivyo.