bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Tujikumbushe leo kipindi cha kununuliwa nguo za Christmass ni Mavazi gani yalikua maarufu sana anzia nguo mpaka viatu...
Enzi zangu mavazi yaliyokua maarufu sana ni Suruali za TOKYO,SAVCO,Shati za Van Basten na Bahamas na Viatu ilikua ni Dingi hawana Uwezo(DH) na Njumu kama vile maradona...nk Mzazi alikua asipokununulilia kati ya viwalo tajwa ni kununa na kulia siku nzima unaeza kususia hata chakula,Ilikua ni mwendo wa kulala ndani siku nzima.
Mbaya zaidi ukute watoto wa mtaa wa karibu wamenunuliwa nguo mpya.
Tukumbushe na wewe Mavazi aina gani yalikua maarufu sana Enzi zako.