Shikamoo...ndo Zile Pekosi/masarawili/bwaga/juu pima chini kadiria izo zijafanikiwa kuvaa zaidi kuona kwenye Video za michael jackson na kusoma kwenye vitabu Ngengemkeni mitomingi(Penzi kitovu cha Uzembe)We hizi jeans za Savco na Tokyo ni za juzi juzi hapa miaka ya 1992 hadi 1996 hivi.
Enzi zetu Christmas tulikuwa tunapiga suruali za Michael Jackson.
Daa mchele mchele tena inaonyesha zilikua maarufu sana
acha tu mkuu bila kusahau DG (dolce & Gabbana)Daa kitambo mkuu Fubu,Fila,Fox daa kweli kila msimu na historia yake
Hahahahaa na bega moja chini na kakitambaa nyuma ya mfuko wa suruali...kweli tumetoka mbaliSuruali za timbaland, zikiwa na mifuko mifuko mpaka magotini tu inaitwa timbaland.
-pensi nyanya
-ribbon ya kichwa kama kina nelly, lil bow wow na fabulous, pamoja na fulana kubwa kupita mwili ndo ubitoz
michael jackoni ni ya miaka ya hiyo kweli, ila nyuma kidoogo ya hapo kulikuwa na mashati yanaitwa julianaWe hizi jeans za Savco na Tokyo ni za juzi juzi hapa miaka ya 1992 hadi 1996 hivi.
Enzi zetu Christmas tulikuwa tunapiga suruali za Michael Jackson.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaa na bega moja chini na kakitambaa nyuma ya mfuko wa suruali...kweli tumetoka mbali