Nyumbani upande mmoja wa kanga unatosha, tena zile za india maana zile ni nyepeeesi.......
Nyumbani avae nguo zake za kuzaliwa
Huko nje inategemea na hali ya hewa na mazingira na (ma)tukio.
Napenda sun dress, daisy dukes (kama ana miguu ya chupa ya bia. Akiwa na miguu ya chupa ya gongo hapana. Tutakorofishana.), capri pants, skinny jeans, thongs marufuku kuvaa, grandma underwear mwiko.
Hahahha hapo kwenye nguo za kuzaliwa safi kabisa maana hata sio gharama!
Nyumbani avae nguo zake za kuzaliwa
Huko nje inategemea na hali ya hewa na mazingira na (ma)tukio.
Napenda sun dress, daisy dukes (kama ana miguu ya chupa ya bia. Akiwa na miguu ya chupa ya gongo hapana. Tutakorofishana.), capri pants, skinny jeans, thongs marufuku kuvaa, grandma underwear mwiko.
Haiwezekani wakati wote akawa amevaa kanga moja, kuanzia asubuhi mpaka jioni, lazima kutakuwa na vazi kabla ya hiyo kanga
Guys baada ya kutujulisha kwa kiasi gani msivyopenda tunavyozika nywele zetu ndani ya mawigi na weavings nimeona niulize kuhusu upande wa mavazi...!Maana hua hamuishi kulalamika sijui tunajiachia sana...wengine hawajali stlye kwao ilimradi kuvaa tu!
Je wewe unapenda mke/mchumba/mpenzi wako avae mavazi ya aina gani ili nafsi yako iridhike na kufurahi?!Kua free kuongelea occasion tofauti kwanzia nyumbani...kwenye majukumu ya kijamii mpaka mnapokua mmeongozana kwenye mitoko ya weekend!
Kwanini unazichukia?!
Si za kufunika zile za kuzaliwa zisichafuke?!Pia wageni wasije wakawakuta ndivyo sivyo maana bongo bado watu hua wanatembeleana bila taarifa!!!