sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Msanii chipukizi mwenye bahati ya mtende kuota Jangwani, wakuitwa Mavokali anapasua anga kama masihara.
Wengi naamini hammjui Mavokali na hamjui balaa analofanya uko duniani. Basi niwaambie ngoma yake inaitwa Komando imekuwa maarufu sana nchi za wazungu. Hakuna ujanja wowote aliyofanya bali ni zari tu limetokea.
Hii ni fursa ambayo akiitumia vizuri tunaweza kutengeneza msanii millionaire mpya mjini.
Anachotakiwa sasa ni kufanya jambo moja tu, amkabidhi wimbo Diamond aweke sauti yake hata kipande cha maneno matatu, it will never be the same.
Mavokali atakuwa anatembea na malundo ya dollars baada ya hapo. Ataizunguka hii Dunia yote kufanya shows na digital platforms zake zitabast.
Ni ilo tu kabakisha!