dah ali kiba mwezi wa tatu huu hata video ya mwana hajatoa , yule jamaa sijui ana matatizo gani
Ninachompendea huyu jamaa hategemei kumshirikisha mtu kama shetta yeye anatoa video yake kama yeye hongera zake amejitahidi sanaaa na nyimbo zake zote kali sanaaa
dah ali kiba mwezi wa tatu huu hata video ya mwana hajatoa , yule jamaa sijui ana matatizo gani
We usifananishe hii ngoma na kimasomaso.
Huyu jamaa yupo vizuri sana. Namkubali..
ally k nae mzuri,lakini sijui tu anamatatizo gani maskini.
niliipenda sana nyimbo ya mwana na nilishabikia sana lakini nimegundua jamaa ni chizi yule video mda wote huo anadhani watu wanaendelea kumuonea huruma?