mudysquare
Member
- May 6, 2012
- 82
- 12
umeongea kweli mavoko anatisha hata mi nampenda na wimbo wake mzuri pia.
Wewe mjusi tumia akili wewe, maatope kasema video ya mwana wewe kimasomaso imekujaje hapo...
​Jamaa wameiba nyimbo ya Ali Kiba
Dah,inaonekana unapenda shughuli sana...kimasomaso ya Ali Kiba imekuboa naona unayo ya enzi yako ya Matona
dah ali kiba mwezi wa tatu huu hata video ya mwana hajatoa , yule jamaa sijui ana matatizo gani