Mavoko: Nitakipiga brush kimombo changu, sitaki kuumbuka kama ilivyonitokea London


Rasi Simba ana short cut.
 
Akapige tu, hata cha kuwashukuru mashabiki jukwaani au cha kuwekea post instgram akipate.
 
Tatizo la watanzania wengi wanajua kingereza cha kuelewana wao kwa wao ila akija mwenye lugha yake hapo ndo kazi sijui huwa kinayeyukia wapi!jaribu kumuangalia mtu ametoka penye interview kwanza jasho linamtoka pia humo ndani alikuwa anarusha mikono kama choirmaster.
The the the nyingiii kama gari lenye gia 12.
 
na yeye atafute demu wa Uganda ili ajue Ngeli kama boss wake
 
Mbona Waziri mkuu alishasema serikali inaajiri wakalimali kila nchi na kiswahili ndiyo iwe lugha ya kuongea kimataifa? Sioni umuhimu wa mtu kupoteza mda kwenda kusoma kingereza wakati tayari nchi unayotaka kwenda utaenda kuwakuta hao wakalimali
Stay there, alafu tunalalamika kazi za zinachukuliwa na Wakenya na Waganda. Ukiwa bilingual hata Botswana, South Afrika, Angola unaweza kwenda kuomba kazi. Au labda mwenzetu tajiri, sisi waganga njaa tunanusa kila kona.
 
Kwani Mama Jessca si mwalimu? Amfundishe..
aroooo unaitwa hapa porisi sentrooo kwa uchochezi,mama jesika ndio nani kwani yeye huyo mama jesika aimfundishe mumewe amfundishe richard
 
Hahahahh!!! mkuu umenivunja mbavu.
 
Mimi nikishapiga maji ya ilala (kilimanjaro ya baridiii) ki english kwangu kinakua si tatizo kabisa
 
nilimsikia Shilole anasema kiingereza kipaji, bora huyu kastukia anahitaji English course ili kupiga brush kimombo chake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa umetisha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…