PreGE2025 Mavunde: Achangia milioni 5 kwa ajili ya kununua miamvuli 100 kwa wafanyabiashara wa Majengo sokoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mbunge wa Dodoma mjini na waziri wa Madini Mhe. Anthony amechangia kiasi cha pesa shilling milioni 5 za kitanzania kwa ajili ya kununua miamvuli 100 ambayo itawasaidia wafanyabiashara kutoka Majengo sokoni mkoani Dodoma kuepukana na changamoto ya jua sokoni hapo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mhe. Mavunde ameyasema hayo mara baada ya kupokea changamoto hio iliowasilishwa na wafanyabiashara hao huku ikiongezewa nguvu na mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabiri Shekimweri

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…