Pre GE2025 Mavunde awakabidhi shamba la Zabibu Umoja wa mama wafanyabiashara wadogo zaidi ya 300 Dodoma

Pre GE2025 Mavunde awakabidhi shamba la Zabibu Umoja wa mama wafanyabiashara wadogo zaidi ya 300 Dodoma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Wafanyabiashara wadogo Kutoka Dodoma (Uwamama) Umoja wa mama wafanyabiashara wadogo wa masoko zaidi ya 300 wamekabidhiwa shamba la Zabibu lenye Ukubwa zaidi ya hekali mbili na Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini ambae pia ni waziri Wa Madini Mhe. Anthony Peter Mavunde Kwa ajili ya kujiendeleza kiuchumi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wanawake hao wametakiwa kuishi kwa upendo na kuondoa mikanganyiko katika matumizi ya shamba hilo ili waweze kunufaika. Hayo yamesemwa na Mbunge Huyo mara Baada ya kukabidhi shamba hilo.

Sambamba na hilo Mhe. Mavunde ameahidi kuwachangia wafanyabiashara hao kiasi cha pesa shilingi million 10 huku akitanguliza kiasi cha pesa shilingi million 3 ili ziwasaidie wafanyabiashara hao katika kuendeleza mradi huo.

 
Back
Top Bottom