Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Watu wengi mnatapeliwa na madalali eti atakufanyia mchakato upate visa ya kwenda marekani kanada na ulaya. Mtapigwa sana washamba nyie, visa inatoka embassy sio kwa agent
Sasa huyo agent kama anazo visa mfukoni kwake mwambie akupe moja uende ulaya 🤣🤣🤣
Hakuna agent yoyote yule atakufanyia mchakato upate visa isipokuwa ni wewe kuwa na supportive documents kama bank statement na sababu za kwenda huko, uende high commission ukaomba visa ya kwenda nchini kwao