Ulilosema ni kweli tena ni jambo la muhimu kama mengine mengi ambayo hujayataja hapa. Lakini nakupongeza kwa kuwa hili ni muhimu sana.kabla ujahesabu salaa au jk kapata kura ngapi nilazima kwanza kuhesabu jumla ya kura zilizopigwa, wasiwasi wangu ni kwamba kuna idadi kubwa ya watu wamejiandikisha kwenye vituo majina yao yapo lakini hawatakuwepo kwa sababu mbalimbali kama vile kuhama mkoa,kukata tamaa, nk.sasa wasije wenzetu chchm wakatumia mwanya huu kura zao kujumrisha pamoja na absentees.
kabla ujahesabu salaa au jk kapata kura ngapi nilazima kwanza kuhesabu jumla ya kura zilizopigwa, wasiwasi wangu ni kwamba kuna idadi kubwa ya watu wamejiandikisha kwenye vituo majina yao yapo lakini hawatakuwepo kwa sababu mbalimbali kama vile kuhama mkoa,kukata tamaa, nk.sasa wasije wenzetu chchm wakatumia mwanya huu kura zao kujumrisha pamoja na absentees.