Mawakala wa kuuza magari yaliyotumika wanahitajika

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
Mawakala wa kuuza magari yaliyotumika (used motor vehicles) wanahitajika kote nchini. Tuma maelezo yako wapi hupo, yaani mkoa unaotoka majina yako na nambari zako za simu yako,anuani ya barua pepe(email address). Pia unaweza kutuma maelezo mengine yanayo kuhusu wewe kama elimu yako, jinsia na umri wako. Hata kama haujui magari yanauzwa vipi ila unayo nia tutumie habari zako tutakuelekeza namna ya kuwa muuzaji mzuri. . Kitomai.1stchoice@gmail.com au piga simu 0717114409/0755312233/0784225000
 

Kitomai,

Mzee nauza Corona Exiv yangu bana (used in Tanzania)!.
 
Nitumie picha katika hiyo email.address au tuwasiliana kwa simu mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…