Mawakala wa M-PESA, TIGOPESA na AIRTELMONEY tunaochukua namba za warembo kupitia miamala tukutane hapa.

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
[emoji121]
Wakuu,

Kutokana na necha ya kazi yetu ya uwakala tunatakiwa kuwa kibandani muda mwingi sana ili kusuburia wateja na kujihakikishia miamala ili bosi afurahi.

Na hivyo ni ngumu sana kupata muda wa kwenda kupiga mimsele na kupiga tongozo watoto wazuri huko kitaa.

Solution ni kuchukua namba za baadhi ya warembo kutoka kwemye simu za miamala na kuanza kupiga tongozo usiku.

Kwa upande wa huku Gongo la Mboto-Malamba mawili kwa kweli sijaambulia chochote zaidi ya kupigwa nyundo za mbavu (kukataliwa) kwa nyodo.

Vipi mawakala wenzangu mnaotumia hii mbinu kutongozea-
Ina mafanikio yoyote?
 
Mmh. Mbona kama mbinu ya kizamani hiyo.

Ila kwani unashindwaje kuwaomba namba hao wadada wakakupa wenyewe kwa hiari yao ili hata ukileta huo mtongozo muweze kuelewana.

Punguzeni uoga jamani sababu mnakoelekea mtaharibu ile maana nzima ya uanaume.
 
Ndo maana mlitandikwa pale UKONGA na hadi leo hakuna USHAHIDI.
 
Tanzania nzima ilitakiwa kuwa jumba la makumbusho ya Taifa kisha itangazwe kabisa kuwa Tanzania na vyote vilivyomo ni kwa ajili ya "World Heritage" na vitunzwe kwa uangalizi wa kutosha.

Yaani, haaaa haaaa haaaa teeeh teeeeh teeeh teeeeh ,,,, mbavu zangu eeeeh Mola.
 
Mmh. Mbona kama mbinu ya kizamani hiyo.

Ila kwani unashindwaje kuwaomba namba hao wadada wakakupa wenyewe kwa hiari yao ili hata ukileta huo mtongozo muweze kuelewana.

Punguzeni uoga jamani sababu mnakoelekea mtaharibu ile maana nzima ya uanaume.
[emoji651][emoji652]
Mukiombwa namba hamtaki mnaleta maringo ya kizamani.
 
Back
Top Bottom