Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Yeah unakula unapolima [emoji23][emoji23]
Hata bank wanafanya hivyo hivyo,hospital hivyo hivyo hadi Mortuary [emoji48]
Bodaboda wanatuharibia sana mahaus girlAisee kweli kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake. Haya na Boda Boda mje hapa kutoa ushuhuda wenu jinsi mnavyowakamu Wake,Watoto na Dada zetu.
Yeah unakula unapolima [emoji23][emoji23]
Hata bank wanafanya hivyo hivyo,hospital hivyo hivyo hadi Mortuary [emoji48]
Ndo maana mlitandikwa pale UKONGA na hadi leo hakuna USHAHIDI.[emoji121]
Wakuu,
Kutokana na necha ya kazi yetu ya uwakala tunatakiwa kuwa kibandani muda mwingi sana ili kusuburia wateja na kujihakikishia miamala ili bosi afurahi.
Na hivyo ni ngumu sana kupata muda wa kwenda kupiga mimsele na kupiga tongozo watoto wazuri huko kitaa.
Solution ni kuchukua namba za baadhi ya warembo kutoka kwemye simu za miamala na kuanza kupiga tongozo usiku.
Kwa upande wa huku Gongo la Mboto-Malamba mawili kwa kweli sijaambulia chochote zaidi ya kupigwa nyundo za mbavu (kukataliwa) kwa nyodo.
Vipi mawakala wenzangu mnaotumia hii mbinu kutongozea-
Ina mafanikio yoyote?
Sifa ya Bodaboda,huwa HAKUBALI MIMBABodaboda wanatuharibia sana mahaus girl
[emoji651][emoji652]Mmh. Mbona kama mbinu ya kizamani hiyo.
Ila kwani unashindwaje kuwaomba namba hao wadada wakakupa wenyewe kwa hiari yao ili hata ukileta huo mtongozo muweze kuelewana.
Punguzeni uoga jamani sababu mnakoelekea mtaharibu ile maana nzima ya uanaume.
Mukiombwa namba hamtaki mnaleta maringo ya kizamani.
Yeah any place unaposhinda na una interact na people[emoji38][emoji38]...mortuary tena mkuu?